Monday, 6 November 2017

ANDAA SASA MAZINGIRA YENYE UHAKIKA WA KUJIPATIA AJIRA YAKO .

Tags


                                 OFA OFA OFAA!!!.
     
Mpendwa umehangaika ajira sasa  yatosha,AUGUSTINO COMPUTER TRAINING CENTRE ni jibu lako mtaarifu na mwenzako upatapo taatifa hii ili naye asipitwe na punguzo hili la asilimia 20% ya Ada,na uhakika wa kutafutiwa kazi baada ya kumaliza mafunzo

Chuo kina mazingira rafiki kwa mwanafunzi,walimu wazuri waliobobea kwenye fani ya Computer na kinakaribisha watu wa aina zote  waliomaliza vyuo vikuu ,diploma ,kidato cha sita kidato cha nne,Darasa la saba ,wote mnakaribishwa.

mbarikiwe na Bwana chuo kinawatakia maandalizi mema,soma hapo chini kwa taarifa zaidi.  Unaruhusiwa kuwasiliana kupitia 0756-204165,wahi nafasi ni chache






 NB;Baada ya kuhitimu mafunzo kuna uhakina wa kutafutiwa kazi.

Pia saidia kushare taarifa hii Kwa watu mbalimbali
    Kwanjia ya WatsApp,Instagram,Facebook,Twitter nk.







EmoticonEmoticon