Wednesday, 4 October 2017

SAA YA UPONYAJI

Tags

Bwana yesu asifiwe, ninayo furaha kukupa matumaini wewe uliye kata tamaa kutokana na changamoto unazopitia iweni magonjwa ndoainasumbua nk.Nakufundisha kuamini kitu kimoja tu chenye nguvu na ukiamini hicho utakuwa salama .Mwamini Yesu kristo mnazareti aliye shinda mauti kifo na kaburi,naleo mpaka sasa yu hai katika ulimwengu wa roho yupo kwenye ulimwengu wa roho ilikuhakikisha kwamba changamoto zako zote  zilizo jificha katika ulimwengu wa roho ambazo watu wa dunia hii wameshindwa yeye  kuku saidia. anao ufunguo wa matatizo hayo.(ufunuo5:3- 7) jitahidi kuisoma vizuri."inasema.wala hapakuwa na mtu mbinguni,wala juu ya nchi,wala chini ya nchi,aliye weza kukifungua hicho kitabu,wala kukitazama nami nikalia sana kwakuwa  hapakuonekana mtu astahiliye kukifungua hicho kitabu,wala kukitazama,na mmojawapo wa wale wazee akaniambia,usilie:tazama simba aliye wa kabila ya yuda ,shina la Daudi ,yeye ameshinda apate kukifungua kile kutabu na zile mihuri zake saba..." Tutaendelea nawe utakuwa huru


EmoticonEmoticon