JE MPINGA KRISTO
NINANI?
(1YOH 2;18-24 ).Aya hii ndiyo inayo jibu hiliswali ina anza kwa kujibu swali hili ikisema . "watoto ni wakati wa mwisho na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga kristo yuaja,hata sasa wapinga kristo wengi wamekwisha kuwapo kwasababu hii twajua ya kuwa niwakati wa mwisho 19 walitoka kwetu lakini hawakuwa wakwetu maana kama wangalikuwa wakwetu wangalikaa pamoja nasi.lakini walitoka iliwafunuliwe kwamba si wote walio wakwetu 20 Nanyi mmepakwa mafuta nayeye aliye mtakatifu nanyi mnajua nyote 21 sikuwaandikia ninyi kwasababu hamwijui iliyo kweli,bali kwasababu mwaijua ,tena kwamba hakuna uongo wowote utokao katika hiyo kweli 22 ninani aliye mwongo ila yeye akanaye kuwa Yesu ni kristo?Huyo ndiye mpinga kristo , yeye amkanaye Baba na mwana.23 kila amkanaye mwana hanaye Baba ;amkiriye mwana anaye Baba pia 24 Ninyi basi,hilo mlilolisikia tangu mwanzo na likae ndani yenu . ikiwa hilo mlilosikia tangu mwanzo lina kaa ndani yenu ninyi nanyi mtakaa ndani ya mwana na ndani ya Baba" .mpendwa aya za andiko hili hazi maanishi mtu kuhama kanisa au dini bali lina zungumzia kuhama kiroho kutoka kumwamini Mungu na kazi zake kupitia Yesu krsto na kumwacha kuikimbilia imani ya kumwamini shetani na vibaraka wake ,kwahivi hili andiko ni neno la kiroho zaidi yaani linajikita zaidi kuzungumzia juu ya roho inayo mpinga yesu haijarishi hiyo roho ina Sali kanisa gani
,Hebu jitafakari mimi sijui ya kuwa wewe ni mmoja wapo ya mpinga kristo unaingia kanisani na unashiriki mambo mbalimbali lakini u kinyume na kristo ,inawezekana nimmoja kati ya wale wanao wapiga mawe au kuwa tukana waliompokea na kumuhubiri kristo au unatabia ya kupinga utendaji wa kazi za Yesu kwa nyakati hizi basi ujue una mpinga kristo ,au unatabia ya kuwahukumu watufulani kutokana na aina yakanisa wanalo abudu ukisema kuwa kule hakuna Yesu pasipo kujua kwa kina juu ya mahusianao yao binafsi na Yesu, wewemwemyewe unajijua hebu chukua hatua ya kubadirika kumwamini yesu pekeyake maana hapo humdanganyi mtu mwingine bali unajipotezea muda wako wa kufanya matengenezo ili ukaurithi ule ufalme ulio wekewa tayari tangu kuwekwa misingi ya dunuia mlango wawokovu uwazi .amen .
E.mkinga
EmoticonEmoticon