ANDAA SASA MAZINGIRA YENYE UHAKIKA WA KUJIPATIA AJIRA YAKO .
Mpendwa umehangaika ajira sasa yatosha,AUGUSTINO COMPUTER TRAINING CENTRE ni jibu lako mtaarifu na mwenzako upatapo taatifa hii ili naye asipitwe na punguzo hili la asilimia 20% ya Ada,na uhakika wa kutafutiwa kazi baada ya kumaliza mafunzo
Chuo kina mazingira rafiki kwa mwanafunzi,walimu wazuri waliobobea kwenye fani ya Computer na kinakaribisha watu wa aina zote waliomaliza vyuo vikuu ,diploma ,kidato cha sita kidato cha nne,Darasa la saba ,wote mnakaribishwa.
mbarikiwe na Bwana chuo kinawatakia maandalizi mema,soma hapo chini kwa taarifa zaidi. Unaruhusiwa kuwasiliana kupitia 0756-204165,wahi nafasi ni chache
NB;Baada ya kuhitimu mafunzo kuna uhakina wa kutafutiwa kazi.
Pia saidia kushare taarifa hii Kwa watu mbalimbali
EmoticonEmoticon