JE,UNALALA NA DHAMBI/KUTOKUSAMEHE/MAGONJWA AU UNAAMKA NA DHAMBI/LAANA/MAGONJWAA/MIKOSI
Mpendwa Bwana Yesu asifiwe, ninakukumbusha Kuwa makini ,muda wa usiku unapahitaji kwenda kupumzika (kulala) au unapoamka ,usikubali kulala au kuamka,pasipo kufanya vitu vifuatavyo kwani itakusaidia malaika wanao kulinda usiku na mchana watakuwa na uhalali na nguvu kuu ya kukutetea,ikiwa unajitahidi kutumia uungu wako
1. Usilale ikiwa hujatubu maovu yako,usikubali,hakikisha una ng'ang'ana na Yesu kwanza mpaka kieleweke,uhakikishe umepata kibali cha kulala
2.Hakikisha umesamehe
3. Hakikisha unajua kuwa kesho utakapo amka utafanya nini siku nzima
4.Hakikisha watoto wamekula na wamelala salama
5.Watakie usiku mwema hao unaoishi nao
6.Hakikisha ndani kuna hewa safi
7.Hakilisha Milango imefungwa vizuri
8.Vunja na kuharibu mitego yote ya adui kwa damu ya Yesu.
9. Ombea nchi yako
ASUBUHI KABLA YA KUAMKA.
Tafakaria kwanza ukuu wa Mungu kabla haujaigusa ardhi ,mtukuze mshukuru,Mungu
BAADA YA KUAMKA
1.Tubia uovu uliofanyika usiku kwakujua au kutokujua.
2 .vunja roho wachafu walio jipanga kwaajili ya siku hiyo na Za
Mbele
3. Mshukuru,Mungu mwinue na kumwabudu kwa wema na ukuu wake
4. Ombea wenzako kisha watazame kama wameamka salama mtukuze Munge
5. Kabidhi mipango yako na kazi zakufanya wewe na wenzako na nchi
6. Omba amani ya nchi yako na dunia
7. Ifunike kwa damu ya Yesu
NB: :Haya nibaadhi tu lakini uyafanye mengi mema kadri uwezavyo ,,jaribu kwa uvumilivu pasipo kukata tamaa,mapema uone kama hautapata ushindi , mafanikio na amani tele moyoni mwako
LALA NA YESU AMKA NA YESU
E.mkinga.
Share na wenzako wajifunze,
Millionaire Ads
2 Tangazo la wima vertical ad weka kulia mwa blog yako au kushoto (sidebars)
Home
Unlabelled
TAFAKARI ,USIKU UNAPOKWENDAKULALA UNALALA NANINI ,NA ASUBUHI UNAPO AMKA UNAAMKA NANINI
Sunday, 15 October 2017
TAFAKARI ,USIKU UNAPOKWENDAKULALA UNALALA NANINI ,NA ASUBUHI UNAPO AMKA UNAAMKA NANINI
Diterbitkan October 15, 2017
Tags
Artikel Terkait
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon