SAA YA WOKOVU NI SASA /SIKU YA KUOKOKA NI LEO.
Mpendwa katika kristo Yesu nimeamua niliweke wazi sualahili kwakuwa wengi wanajiuliza kuwa
kuokoka ni lazima? Mpendwa wengine wanatumia andiko la (math 24:13) wakisema yakuwa wokovu ni siku ya mwisho . Eti."huwezi kusema upo ng’ambo ya mto wakati bado haujavuka"(yaani wana changanya mambo ya kiimani na ushindi wa mwilini yaani wa kidunia. wanafikiri mbinguni ni mji wa mwilini kumbe ni mji wa kiroho ulio halisi unaoonekana kwa imani na imani hiyo ndiyoinayo mpelekea mtu kuufikia ) kauli hii ndiyo wengi wanaitumia wakidhani wako sahihi kumbe wanaitafsiri tofauti hawajui ya kuwa katika Biblia kuna maneno yanayo wahusu wale wanaotembea katika njia za Bwana ,na kuna maneno yanayo wahusu wale walio potea yaani ambao kushinda kwao ni vigumu labla mpaka mganga wakipepo atabiri au ujanja ujanja wa ibilisi utumike sasa watu wanashindwa kuangalia neno gani lilizungumzwa katika mazingira gani na niwatu waainagani walikuwa wanaambiwa (maandiko yanasema neno huua na pia neno huuisha )

mpendwakunavifungu vingine unaweza ukavimeza ukafikiri vina kuhusu na kumbe havikuhusu kwa wakati ule yaani wakati wake kwako bado ,sasa ngoja nikupe vipande vichache ili ukipuuzia yatakayo kupata mimisimo ,(maana kwakweli watu wanashangaza sijui wokovu unawaathiri kivipi ngoja nikuulize .eti!kwani wokovu unapinga nini na
unaruhusu nini? na wewe unapinga nini unaruhusu nini? Na Yesu alipinga nini na uliruhusu nini?ambavyo aliwaambia mitume wake waendele kuwaeleza mataifa?
Kwanza nianze wa kukwambia ya kuwa habari za kufika mbinguni ni habari za kiimani ambazo
mwanadamu anaye hijitaji kufika huko lazima aamini ya kuwa nisehemu halisi inayoiendea lakini sehemu hii ina namna yake ya kufika hapo(mbinguni) .mtuyeyote anapo tazamia kufika mahali fulani jambo la kwanza nilazima maandalizi ya safari yafanyike ,na ikiwa atatumia usafiri wa ndege ni lazima awe na paspoti na ikiwa ni kwa gari ni lazima awe na tiketi ,na kila sehemu ina aina yake ya tiketi na ainayeke ya maandalizi ya safari .Mfano ; anaye kwenda
Morogoro kutoka Mwanza maandalizi ni tofauti na Yule anaye fanya safari ya kutoka Mwanza kwenda Tabora,nina maanisha nini ? ,huwenzi kusema nitafika Mwanza wakati hata safari huja ianza na hata tiketi huna je utafika Mwanza?NA NDIO MAANA NINA KWAMBIA YA KUWA SAA YA WOKOVU NI SASA .
Mpendwa huwezi ukasema mtu akifika mbinguni ndio atakuwa ameokoka .sasa utafikaje pasipo kuwa na njia
.na utapitaje hiyo njia usipokuwa nasifa za kupita hiyo njia.yaani mtu umepewa kanuni na mbinu za kufika ng'ambo ya mto.ukaambiwa kabla hujavuka amini kuwa
umevuka lakini amini huku unafanya mazoezi ya kurukaruka ili uimarishe mifupa itakayo kuwezesha kuruka.pia uweunakula vyakula Vya kuongeza nguvu ili
zikusaidie Siku ya kuruka.halafu wewe ukapuuzia unafikiri utaweza kuruka ?sasa hapa ndio utakuta wengine wana jipa moyo wakisema ninaweza nikabahatisha
hatakama sikufuata zile kanuni.ndugu unamjua aliyeziweka hizo kanuni (mbinu) kwanini aliziweka, MPENDWA acha ubishi .kawaulize wale wazee na vijana
waliokuwa wakimcheka Nuhu wakati akijenga safina.walikuwawabishi kama we we lakini
bahati nzuri walipatajibu zuri Siku ya gharika.sasa onyo kwako usisubiri sikumbaya zifike.
mtumwingine anaweza niambia mbona ninaweza kukatia tiketi nikiwa ndani ya gari,nataka
nikwambie hiyo ni safari fupi ambazo hazina utaratibu maalum wa utendaji wa
kazi na ndivyo anavyo fanya shetani anakukatia tiketi ukiwa ndani lakini Mungu
anataka kabla hujaianza safari uwe na tiketi kwasababu safari yake sio ya
magendo bali nisafari halisi ya kifamle
Mtu mwingine
akaniambia yakuwa wanawaisraeli wasingelivuka ile Bahari basi wokovu wangekuwa
hawaja pata akasahau yakuwa wanawaisraeli wokovu wao ulianzia misri kitendo cha
Farao kuwapa ruhusa ya kuomdoka misri,katika ulimwengu waroho ina maanisha
wokovu walisha kuwanao toka misri na ndio maana waliachiwa huru na kuivuka
Bahari ilikuwa ni mwendelezo wa utimilifu wa ushindi walio upata kutoka misri
.Kama huja nielewa labda nikuulize swali ;unafikiri wana waisraeli
wasingeliruhusiwa kutoka misri kuianza safari ya kuelekea nchi ya ahadi.pale
baharini wangefika? Hapondipo utakapo gundua ya kuwa safari ya ushindi au
safari kuelekea nchi ya ahadi waliianza toka wapo misri .sasa Bwana Yesu
alikuja duniani kutuonesha njia ya kuelekea nchi ya ahadi ambayo kwa kuja kwake
aliianzisha mara moja (yohana 17-19)
Wokovu unampa mtu uhakika wa safari yake ,watu wengi hawana uhakika wa safari
yao ya mbinguni kwasababu ya mafundisho waliyoyapata au walivyoyaelewa vibaya

maandiko ya
biblia katika(yohana,8:12-14) “Basi Yesu akawaambia tene akasema ,mimi ndimi
nuru ya ulimwengu yeye anifuataye ,hatakwenda gizani kamwe ,bali atakuwa na
nuru ya uzima ,Basi mafarisayo wakamwambia,wewe unajishuhudia mwenyewe
,ushuhuda wako sio kweli,Yesu akajibu akawaambia,mimi ningawa najishuhudia
mwenyewe ushuhuda wangu ndio kweli;kwa sababu najua niliko toka na
niendako;lakini ninyi hamjui nilikotoka wala niendako,

mpendwa
nimeamua kukupa aya hii ambayo inaonesha namna Yesu alivyo kuwa na uhakika wa
anakokwenda kwasababu hakuonekani kwa macho ya kawaida ambako hata mafarisayo
hawakujua niwapi huko .sasa ndivyo ambavyo mwanadamu anaye jua ya kuwa yupo
safarini safari ya kuelekea mji mtakatifu lazima awe na uhakika wa safari yake
yaani awe na uhakika na kule aendako (ukiona wewe huna uhakika yaani unasema
kuwa siwezikuwa na uhakika kuwa mimi ni mshindi kabla sija vuka mto),basi ujue
uko matatani kuelekea mbinguni(mji wawatakatifu )najua ni kwasababu unaogopa
gharama wakati yesu alisema mzigo wake sio mzito bali ni mwepesi (math
11:28-30),(nirahisi kuuona ushindi huo ninao kwambia ikiwa uko upande wake)

je kuwa upande
wa Yesu maana yeke nini? Kuacha ,ulevi ulafi wizi ,chuki,
uzinzi,uchawi,ushirikina wivu mbaya,nk ( yahana 14:23-24) ;mfano wewe
unapokwenda kwa nganga wa kipepo halafu unapinga eti wokovu sio leo kama sio
leo unamaanisha wanadamu hawako safarini (yohana 17;15-16) na kama wako
safarini mtualiye ianza safari hiyo anakuwaje ,yaani anakuwa na mtazamogani
uelewa gani ,na imani gani ,na anajitahidi sana kwenye maisha yake kufanya
mambo gani ? kwakawaida mtu aliye amini kifo cha Bwana Yesu msalabani ni lazima
atajua na kusudi la kifo chaYesu .kwaufupi Yesu alikuja kutuonesha njia ya
Kwenda kwa Baba (Mji mtakatifu au Yerusalemu mpya) ndio maana katika mafundisho
yake alikuwa anasema kuwa Yeye ni njia kweli na uzima (yahana 14:6-7) ,kila
aaminiye hata tahayarika.

Wokovu ni kama
taa ya kuwaongoza wateule siku ya kumlaki Bwana Yesu mawinguni ,kikawaida mwana
wa Mungu aliye katika safari ya mbinguni ni lazima awe na taa yenye nguvu na
sio kutegemea taa ya mwingine maana giza litakapo ingia wasio na taa na mafuta
yakutosha itawawia vigumu kumlaki Bwana Yesu mawinguni ;ndugu mfano huu alisha
tuwekea wazi Bwana Yesu kabla kupaa kwake (matha 25:1-13)

Pia ngoja
niweke wazi kuwa Yesu alisema alikuja ulimwenguni siyo kuuhukumu ulimwengu bali
ulimwengu uokolewe katika yeye .sasa utaendelea kusema kuwa wokovu sio duniani
,sasa swali Yesu duniani alikuja kufanya nini?.mpendwa yesu alikuja kuwaelekeza
wanadamu njia sahihi ya kufika mbinguni na mbinuzifaazo,kwakuwa wanadumu
walikuwa wanasikia lakini hawasikii yaani kuwafungua walio fungwa .na ingekuwa
wokovu hauanzii duniani basi asingeshukaduniani ,kwani ange kuja kufanya nini,
ina maana angebaki mbinguni, ingelikuwa wokovu unapatikana kulekuleasinge kuja
ange wasubiri huko.kwani mtu akitaka kuwa padre akifika kanisani tayari anakuwa
padre ?kamajibu ni hapana inamaana kuna mlolongo fulani wa maisha ya maandalizi
ya kuwa padre bdivyo ilivyo katika ufamle wa Mbinguni .Mpendwa hiki ndicho
kilicholeta shida sana hata kabla Yesu hajapaa mbinguni .waandishi mafarisayo
na walimu wa sheria walimpinga sana aliposema kuwa yeye ni mwana wa Mungu na
amekuja kuuokoa ulimwengu,wakasema kuwa haiwezekani mbona wewe tuna kufahamu ya
kuwa ni mwanadamu kama sisi ,na umekuja kuuokoa ulimwengu wewe kama nani na
umetoka wapi .hawakujua yakuwa kuna safari na maisha mapya wanayo takiwa kuanza
kuyaishi kwa nyakati hizo za ujio wake ambao ulikuwa na lengo la kuwafanya
wanadamu wajitambue kuwa duniani sio kwao (wanapita kamavile yeye alivyo
mpitaji).kitendo hiki cha yesu kuja duniani pia nikati ya vigezo vinavyo
ashiria yakuwa wokovu unaanzia duniani

na mtu
akivumilia mpaka mwisho katika maisha hayo ya wokovu kutokana na yale yatakayo
tokea ili kupoteza uamuzi wake wa kumfuata yesu .ndiye atakaye fikia utimilifu
wa wokovu au wa safari aliyo iaznia akiwa duniani
Kuokoka ni lazima ,najua wanadamu wengi hutafuta tuu namana fulani za kujitetea
ili watimize matakwa ya miiliyao .pia Yesu alikuja kuwapa wana damu wokovu
kutokana na mgandamizo katika maisha waliyo kuwa wanaishi na mateso makubwa
,kwa kuwasamehe dhambi zao kwasababu mgandamizo huo ulitokana na uovu.thamani
ya wokovu duniani ni kwamba humpa mtu uhakika wa safari .pia humpa mwanadamu
uwezo wa kushinda dhambi zinazoletwa kwa mbinu tofauti kwakuwa roho wa Mungu
huwa hai ndani ya mwanadamu huyo .kumbuka hata Roho mtakatifu katika matendo ya
mitume hakuwashukia wakulima au mafarisayo au walimu walio kuwa mashuleni bali
aliwashukia wale waliokuwa wakimngoja katika utakatifu (walio mkiri Bwana Yesu
kuwa yeye ni mwokozi)na ndipo walipopata nguvu ya kuhubiri kwa nguvu neno la
Mungu.na kushinda ,mpendwa muulize Paulo na Sila,kilicho wafanya wafunguliwe
gereza mbali na kumsifu mungu(ninguvu gani hiyo) tatizo wengine wamezoea
kumtegemea mwanadamu ndio maana ni wabishi,endeleeni kubisha kuna siku mtasikia
mwangwi wa ubishi wenu mlio ufanya miaka mingiiliyo pita.na mwangwi wa injili
hii masikioni mwenu

Pia Yesu
alisema kwakupingwa kwake sisi tumepona,(Isaya 531-5),inamaanisha sio tutapona
bali tumepona inamaana ina maanisha nini? Mpendwa hili nineno lina upana ,yaani
ushindi nikuanzia sasa mpaka kuurithi ufalme wa mbinguni .pia neno jingine ni
hili aaminiye na kubatizwa ataokoka,yeyote anaye amini kuwa Yesu alikufa
kwaajili yake nilazima ataamini ya kuwa kifo chake msalabani ndicho kilocho mpa
uhakika wa safari yake.na safari hii ya ushindi anaianzia duniani kwani Yesu
Alisha ianzisha duniani ndio maana kwenye maombi yake ya mwisho alisema siombi
uwatoe duniani bali uwakinge na Yule mwovu ,(yahana 17:15) (huu ni ushindi alio
ukusudia tangu tunapokuwa duniani) kisha akasema ili pale nitakapo kuwepo nanyi
muwepo( yahana 14:3)

Mkristo au
mwana damu yeyote ni lazima aamini yakuwa Yesu alikuja kumuandalia mwanadamu
maisha ya baadaye ndio maana alisema nikaenda kuwaandalia makao ilipale
nitakapo kuwepo nanyi muwepo kwasababu yeye ndio njia ,utasemaje kuwa
utafikambinguni wakati hauyatendi yale aliyokuagiza .mtuanaposema nimeokoka
inamaana anauhakika na kifo cha yesu msalabani inamaana anaimani nacho
kwasababu kitendo cha kufakwake pale msalabani na ndipo wokovu ulipopatikana

Hilo andiko
katika (math 24;13) kwa ufupi haliwahusu wale ambao hawajajitambua na kuianza
safari ya kumfuata Bwana Yesu kwa matendo yaliyo amriwa na Yesu,ndio maana
utaona kisa cha Yesu kuongea hivyo ilikuwa ni pale wale walio mkubali na
kumfuata kumuuliza kwa habari za ishara za nyakati (mwisho wa dunia )ndiposa
akawaambia yakuwa wavumilie maana kuna mambo yatakayo wapata lakini
atakayejitahidi kuvumilia mpaka mwisho ndiye atakaye okoka.naomba nikuulize
ikiwe wewe ni mzinzi au mchawi au mlafi au mwizi au una woga au muuwaji
,ukilichukuwa andiko hili na kusema lina kuhusu sasa unataka uniambie ya kuwa
uvumilie uovu wako ?ndipo uingie mbinguni SOMA (mdo;4:12). na ( luk 19:9),

SOMA VIFUNGU
HIVI UJUE ZAIDI JUU YA SAA YA WOKOVU (au muda sahihi wa kuokoka)

Kuna watu wanafikiri
kuwa siku yao ya kuokoka haija fika na kisa kuna maandiko yanayosema kuwa kila
jambo linawakati wake basi watu wanafikiri kuwa kunasiku iliyopangwa ya
mtufulani kumpokea yesu .nataka nikutoe kwenye fikra hii,mpendwa Bwana Yesu
anataka wanadamu wote tumkubali yeye na kumpa maisha yetu kila mmoja leo na sio
kesho na ndio maana alisema msiyasumbukie ya kesho eti mtakula nini au mtakunya
nini au mta vaanini bali utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake na hayo
mengine mtazidishiwa,tatizo wanadamu wanapoona ya kuwa wanahitaji wapate muda
wa kutimiza haja za miili yao wanaanza kujitetea wakisema wakati wao bado
(najua siri hii unaweza kuipinga lakini ndio mpango halisi wa Mungu yakuwa
uokolewe leo

kitendo cha
Yesu kuja duniani hakikuhitaji tena kutoa au kuongeza wakati wa mtu fulani
kuokolewa bali kitendo cha kufakwake na kufufuka ndipo wakovu mkuu ulipo anza
na kutangazwa rasmi kwa kila aaminiye shida sio Mungu hajapanga uokolewe leo
bali ni ufahamu wakouliotekwa na ibilisi juu ya suala zima la wokovu na muda
ufaao.ndio maana Yesu alisema kesheni mkiomba kwakuwa hamjui saa wala muda
mwana wa adamu atakapo shuka kutoka mawinguni ,ina maana muda wote kila
mwanadamu lazima awe katika neema hii ya wokovu (muda wa wokovu ulisha tangazwa
baada ya kifo na ufufuko wa Bwana yesu msalabani) watuwengi wana kufa katika
dhambi nikwasababu wanajipa injili za kujiongezea muda et mudawake hauja fika
au muda wangu bado ,au saa ya bwana ikifika nitaokoka aua ataokoka .mpendwa saa
ya wokovu wako ni sasa jukumu lako ni kuchukua uamuzi wa kuyaanza maisha mapya
,biblia ina sema mtafuteni bwana maadamu anapatikana (Isaya 55:6-7) ,anaposema
hatujui muda wala saa inamaana kuna jambo lazima lifanyike leo .yaani kweli
siri za Mungu hazi angalii elimu ya mtu yaani hata wewe msomi unashindwa kuujua
ukweli wa maandiko mpaka hapo nimeamini yakuwa maneno ya Yesu aliyo sema
Aliwaficha wenye hekima akawafunulia watoto wachanga nisahihi kabisa ,mpendwa
weka elimu yako mbali na kumtafuta Mungu vinginevyo elimu yako itakuponza
,usiangalie wadhifa wako Yesu anawadhifa mzuri kuliko wewe acha madoido,njo kwa
Yesu,hapa haijarishi wewe ni waziri Mwalimu,Raisi,Papa ,Askofu ,Mchungaji,
Mkulima ,Mchawi Balozi Mtoza ushuru Farisayo au mwanasheria wote twendwe kwa
Yesu,lakini usikurupuke Fanya maamuzi toka moyoni na uamue kweli kumpa Yesu maisha usiigize au kufuata mkumbo Bali amua wewejama wewe.toka rohoni mwako.hakika yramwona Bwana.

SOMA ZAIDI AYA
HIZI CHACHE KATI YA NYINGI NA ROHO WA MUNGU ATAKUPA NEEMA

1kor 6:1-10
Mdo 28:1
Yohan 5:41-47
Walawi 1930-31
Isay 8;16-22
Yohan 10:19
Ebrania 2:3
Yahana3:14-15
Isome na kuielewa ingawa iko na mingine mingi ielezayo juu ya saa ya wokovu(
usisome kiupinzani soma kwa kutamani kupata ukweli) pia soma vizuri somo zima
na Mungu Roho mtakatifu atakufundisha na kukuelewesha kupitia jina la yesu
Amina,
Ikiwa unahitaji msaada wa maombi auushauri au unahitaji kumpa Yesu maisha yako
piga no.0757250806/ 0716530483.usibip

E.mkinga
EmoticonEmoticon