BIBLIA INAVYO SEMA KUHUSUMUNGU
(Isome Katika Biblia yako ili uongeze ufahamu juu ya Mungu )
Biblia ina mtambulisha Mungu katika mazingira na namna tofauti zinazo onesha Kuwa Mungu wetu ni waajabu,asiyeweza kuchunguzika kwakigezo kimoja kwani Sifa zote nzuri nizake na zilianzia kwake,jambo ambalo linawafanya wote wanaojitahidi Kuwa na Sifa nzuri zakufanana na Mungu ,Mungu huwapenda na nakuitwa watakatifu
Hizi in baadhi ya utambulisho wa Mungu ambao mpaka leo na hata milele atabaki Kuwa hivyo,na kitendo cha Mungu Kuwa hivyo ndicho kinacho wapa wanadamu kushinda kila wakati,Mingu anatambulishwa na kujulikana kamaifuatavyo.
1. Mungu ni Niko ambaye niko (kut 3:13-15 ) (Yn 8:28)
2.Mungu ni muumba .( mwa 1; ) (Yn 2:1-12 ). (Kol. 1:15 )nk
3. Mungu ni Mungu wa uzima. (Mwa 2:9;3:22). (Ufu 22:1-2) (Yn 10:10
4. Mungu ni Mungu mwaminifu (Kum 32:3-4) ( Tum 8:35-39 ) (zab 89 )
5. Mungu ni moto ulao (Ufu1:14-15 ). (Kumb 4:24). (Lk 12:49-53 )
6. Mungu ni Mungu wa siri. (1Kr 2:6-16) (Kumb 29:29 l
7. Asiyeonekana. (Yn 7:33-34 )
8. Mungu ni Mungu aishiye milele. (Ufu 1:18 ) (Rum 6:9-10 ) (Zab 90:2 )
9: Mungu ni Mungu wa miujiza (Rum 4:16-25 ) (Lk 8:22 -56 )
10.Mungu ni Mungu Aliye popote, (Efe 4:10 ) (Mt 18:20 ( Her 23:23-24
11.Mungu ni Mungu wa amani. (Yn 14:27 ) (Is a 2:4-5 )
12. Mungu ni Mungu mwenye kuonekana kupitia Yesu kristo ( Yn 1:14-18 ) (Is a 9;1-6 )
13. Mungu ni rafiki wa wenye dhambi (Mat 9:9-13 ) (1Tim 1:12-17 ) ( Isa655:6-7 )
Hivi ni baadhi ya namna Biblia inavyo mtambulisha Mungu ,tutaendelea kujifunza wakati ujao nitatoa mistari mingine kwa mtindo huu ,lakini jitahidi kuisoma vizuri na Roho mtakatifu akufundishe,Amina.
E.mkinga.
KISIMA CHA BARAKA
NB;Share kwa wengine kadri uwezavyo,.pia kama unawazo andika hapo chini kwenye eneo la comment
watsapp/Facebook ,Twitter ,nk
KESHO NITAKULETEA AYA NYINGINE ZINAZO MTAMBULISHA MUNGU KARIBUNI MKUMBUSHE NA MWENZAKO
EmoticonEmoticon