NAMNA SHETANI ANAVYO FANYA KAZI
Hapa tuta kuletea siri nyingi za namna shatani anavyo fanya kazi akifikiri nisiri kumbe ziko wazi,nakutakia utembeleaji mwema wa ukurasa huu.
Shetani kazi yake ni kuiba na kuharibu kuua nk ,yeye hana uhalali wa kumiliki chochote lakini Mungu pekee ndiye mmiliki wa vyote,shetani ni mwizi ni muharibifu ,Mungu aliumbe shetani akanuia kuchafua kazi ya Mungu,
Uharibifu mmoja wapo anao ufanya ni kuharibu watoto wa Mungu akiwataka wamfuate yeye kwa lazima ,ili kwamba siku ya kuhukumiwa kwake asiwe pekeyake .Njia nzuri kwake anayo itumia ili kuwapata watu wa Mungu ni kuwatengenezea mitego ya kumkosea Mungu wao ili wafarakane na Mungu wao aliye mtakatifu na muumba (dhambi )kisha hupata nafasi ya kuwachukua kirahisi kabisa nakuwapeleka mbali sana kwasababu ya uovu wao,chaajabu wakitambua na kutubu shetani huwaachilia nao hurudishwa na kuketi na Mungu wao kwa raha musharehe na kinacjo mfanya awaachlilie ni maamuzi ya mtu aliye tekwa anapo hitaji msaada wa Mungu kwakumaanisha ndiposa damu ya Yesu kristo msalabani inapo chukua nafasi kwa nguvu zaajabu na kuwaokoa ( he we we umempaYesu maisha yako? ) chukua hatua maana muda umekwisha yadunia yanapia,bado kitambo kidogo mwana wa adamu atashuka mawinguni kama tulivyo mwona akienda zake ,ndipo kila mtu atakapo hukumiwa sawasawa na matendo yake.
NAKIBOKO CHAKE NI SADAKA YA YESU KRISTO MSALABANI.
Kwa kupigwa kwake sisi tumepona
Inakuja
EmoticonEmoticon