BIBLIA INAVYO MTAMBULISHA MUNGU (SOMO LA 2 )- Kisimachabaraka.blogspot.com.
Mpendwa huu ni mwendelezo wa kipengele tulicho
anzanacho tuliweza kuona baadhi ya mistari inayo mtambulisha Mungu na ina
husunini lakini leo Mungu ametupa tena neema ya kuitazama mistari hii michache
endelea kupitia katika Biblia yako ili umjue zaidi Mungu kwa maana mistari kama
hii inaonesha sura halisi ya Mungu ,na pia baada ya kumjua vema utaweza kuwa
imara pasipo kutegemea zaidi imani ya mtu mwingine kwa maana uwepo wa Mungu
aliye hai utakuandama .endelea kupitia nitakuletea mistari mingine iliyo
sheheni namna Biblia inavyo mtambulisha Mungu lakini katika Agano Jipya pekee
yake kwani hapa niliichanganya ,hapo utapata sifa nyingine nyingi ambayo hujaziona
hapa wala katika kipengele kilicho pita.lakini usisahau kushare na mwenzio
mambo kama haya ,iwe ni kwa watsApp
Facebook nk,karibu nami nina kutakia upitiaji mwema na Mungu aliye hai kupitia
jina la Yesu akubarikii.Amen
Baba wa watu ( Ebr 2;11-13)
(Isaya 66;13)
Mungu ni
aliye jaa neema (
Yn 1;14 ) (Omb 3;21-34)
Mungu ni asiye badirika ( Isa 46
) (Yn 8;58 ) (
Ebr 13 ;8)
Mungu ni mwaminifu (Rum 8;35-39)
Mungu ni
upendo ( Yn 15;13)
Mungu ni mhukumu wa watu wote 2 ( Tm4;8)
Mungu ni nuru
/mwangaza (Dan
2;22) (Yn 8;120)
Mungu ndiye
Bwana wa utukufu (Lk 9;26-36)
Mungu ni mwenye hasira kuhusu uovu (
Mk 3;5) ( kum 29;19-29)
Mungu ni Mungu aliye mahali popote (
1Fl 8;27) (Mt 18;20 ) ( Efe 4;10 -55)
Tutaendelea ,endelea kupitia lika siku upate vitu vipya
limetolewa na E.mkinga
NB;share kwa marafiki zako kwa kupitia account zao za
WatsApp Facebook Twitter Instagram nk
KISIMA CHA BARAKA
kisimachabaraka.blogspot.com
EmoticonEmoticon